Mohammed Ali’s Letter to William Ruto

Celebrated Kenyan Investigative journalist Mohammed Ali had wise words for Deputy President William Ruto.Contrary to his habit of criticizing the government, this time round his words were meant to console the Deputy President and assure him that everything will be okay.

Ruto is having ICC nightmares, which is giving him sleepless nights, but the Jicho Pevu journalist had to comfort him with sweet letter. Below is the letter he wrote to the URP king.

BARUA KWA WILLIAM RUTO
Hujambo bwana kusema na kutenda. Naomba safari hii kabla hujatenda nikujulishe mawili hivi. Najua huna raha, hupati usingizi na unahofia maisha yako licha ya utajiri uliyonayo. Leo hii umejipata kubanwa na uliowaamini. Ndoa za haraka na tama zina shida bwana Ruto. Ukipenda viazi usiogope mimba ndio msemo wetu kule vilima vya raha. Ndoa yako na Uhuru Kenyatta imefikia kiwango cha mtu mmoja kati yenu kupata mimba. Si mimba ya mtoto bali mimba ya machungu na kusalitiana. Miaka ya nyuma kabla ya wewe kuwa HUSTLER wa kizazi kipya niliwahi kukutembelea mara kwa mara katika afisi zako katika jumba la Transnational. Tulizungumza na kutaniana na hata kuzungumza kwa simu. Ulikuwa machachari na mtu wa watu


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *